Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Marehemu Masogange aliniambia vitu viwili kabla ya kifo – Chopa

Video Archive
Sat, 21 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa filamu Juma Chikoka “Chopa Mchopanga” ambaye alikuwa na marehemu Masogange dakika ya mwisho kabla ya kukata roho amefunguka kuzungumzia kauli tata ya mwisho aliyoitoa marehemu kuhusu maisha yake. Muigizaji huyo amedai marehemu alikuwa anasumbuliwa na pumu pamoja na mwili kuishiwa damu.

Chanzo: bongo5.com