Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Harmonize amkana Shilole ‘nilimkabidhi gari baada ya harusi tu’

Video Archive
Sat, 17 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize aka Konde Boy amefunguka kwa kukanusha taarifa ambazo anadaiwa kuzitoa Shilole kwamba bado hajakabidhiwa gari na Harmonize. Muimbaji huyo amedai siku moja baada ya sherehe ya harusi ya Shilole alimkabidi gari kama alivyoahidi.  Shilole anadaiwa kutoa kauli hiyo akiwa katika kipindi cha Leo Tena Cha Clouds Fm.

Chanzo: bongo5.com