Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Diamond afunguka kukutana Diddy Marekani

Video Archive
Thu, 12 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Star wa Muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii watakaotoa burudani leo Morogoro katika tamasha Waukae Festival litakalofanyika  leo Agosti 12, 2021 pale katika viwanja vya Kiroka.

Sasa mud huu wasanii wamepita Dizzim FM kuhojiwa na ilipofika zamu ya Diamond aliuzwa kuhusu kukutana na P Diddy na akasema haya maneno

“Kweli tulienda kwa Diddy siku moja kabla ya Uhuru wa Marekani Aah Tulikuwa kwa Diddy Kuna vitu Tukafanya..Sema yaliyofanyika Sio Ya Ku-Post Kwa sababu Yanaficha yanayoendelea Mbele Sio Hivo Tu, Tulifanya Vitu Vingi na Watu mbalimbali Pia”- Diamond Platnumz

Chanzo: millardayo.com