Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO:Alikiba kafunguka Diamond BET, kumiliki magari makali

Video Archive
Wed, 30 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Msanii kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae time hii baada ya kushuka kwenye jukwaa la show iliyoandaliwa na kipindi cha Clouds FM Leo Tena amekutana na wanahabari.

Ni Msanii kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae time hii baada ya kushuka kwenye jukwaa la show iliyoandaliwa na kipindi cha Clouds FM Leo Tena amekutana na wanahabari. Staa huyo baada ya kuulizwa kuhusu Diamond kushiriki tuzo za BET alisema hapendelei kuulizwa swali hilo na akaulizwa pia kuhusu kumiliki magari makali, unaweza ukabonyeza play umsikilize alichokizungumza.

Chanzo: millardayo.com