Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwoya Afanya Kufuru Kwenye Harusi Ya Kwisa Awamwagia Minoti (+Video)

Video Archive
Sun, 3 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usiku wa Oktoba 3, Mtangazaji maarufu wa kipindi cha "udaku" kinachoitwa ICU, Kwisa Thompson amefunga ndoa.

Sherehe hiyo ilihudhuriwa na Mastaa wengi wa Flamu na Muziki na ikizingatiwa mastaa ndio hasa vyanzo vya habari katika kipindi hicho.

Miongoni mwa waliohudhuria sherehe hiyo in muigizaji kunako ulingo wa filamu ama Bongo Movie, Irene Uwoya ambae ameshika vichwa vya habari baada ya kumwaga Pesa akimtunza kwisa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live