Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usher Raymond ashinda msanii Bora wa Kiume RnB kwa mara ya tano BET

Usher Raymond .jpeg Usher Raymond ashinda msanii Bora wa Kiume RnB kwa mara ya tano BET

Mon, 1 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Usher Raymond ameshinda tuzo ya BET 2024 katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa miondoko ya R&B kwa mara ya tano.

Tuzo hizo zilifanyika katika Ukumbi wa Peacock Theater jijini Los Angeles ambapo Usher amewapiku wasanii kama Chris Brown, Burna Boy, Drake, Fridayy, October London, Bryson Tiller na wengine.

Usher anakuwa msanii wa pili wa kiume mwenye tuzo nyingi za BET katika kipengele hicho akitanguliwa na Chris Brown mwenye saba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live