Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uongozi E-fm wafunguka kuondoka kwa Oscar Oscar, Dina Marious (+Video)

Video Archive
Fri, 17 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Sintofahamu ya siku kadhaa baada ya kutangazwa kuondoka kwa watangazaji vinara wa Kituo cha Habari cha EFM, Oscar Oscar "Mzee wa kaliua" na Dina Marious.

Hatimaye uongozi wa Kituo cha E-fm na TVE wametoa taarifa rasmi juu ya kuondokewa na timu hiyo ya ushindi.

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa E-fm na TVE, Dennis Busulwa "Ssebo" ameweka wazi sababu hasa za kuondoka kwa watangazaji hao.

Tazama Video Ssebo akizungumza;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live