Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

SIL

Umesikia hii, Wanaochelewa kulala wana akili kuliko wanaoamka mapema

Blog Types Of Self Care.jpeg Umesikia hii, Wanaochelewa kulala wana akili kuliko wanaoamka mapema

Wed, 17 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Imperial London na Chuo Kikuu cha Madrid umebaini kuwa watu wanaopenda kukesha, au wale wanaofanya kazi usiku, huwa na akili zaidi kuliko wanaoamka mapema.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Imperial London na Chuo Kikuu cha Madrid umebaini kuwa watu wanaopenda kukesha, au wale wanaofanya kazi usiku, huwa na akili zaidi kuliko wanaoamka mapema. Utafiti huo ulibaini kwamba watu hao wana uwezo mzuri wa kufanya kazi za kutumia akili nyingi, kutoa mawazo, kutunza kumbukumbu, kutoa majibu yenye kueleweka pia wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kutenda mambo kwa haraka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live