Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

UTAFITI: Wanaume wanasaliti zaidi kuliko Wanawake

Svcjabofylurexwx61921df5c7055 UTAFITI: Wanaume wanasaliti zaidi kuliko Wanawake

Mon, 16 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kulingana na utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Familia, umebaini kuwa wanaume wanasaliti zaidi kuliko wanawake.

Utafiti huo umebaini asilimia 20 ya wanaume na asilimia 13 ya wanawake wanafanya ngono na mtu mwingine nje ya mpenzi wao wakiwa kwenye ndoa.

Aidha utafiti huo umeeleza wanaume husaliti hadi wanapofikia umri wa miaka 70 huku kwa wanawake wakiwa na miaka 60.

Hata hivyo inaelezwa kinachopelekea wanawake kusaliti ni kiwango cha juu cha ajira kwa wanawake, usawa wa mapato, na kutumia muda zaidi kazini. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live