Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

UTAFITI: Kulala mapema ni muhimu kwa afya yako ya akili

Kulala Mapemaaaaaaa UTAFITI: Kulala mapema ni muhimu kwa afya yako ya akili

Mon, 24 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye jarida la ‘Psychiatry Research’, umebaini kuwa kulala mapema kabla ya saa moja usiku kunapunguza hatari ya kupata matatizo ya kiakili na kitabia kama vile wasiwasi na mfadhaiko.

Utafiti huo uliyofanywa nchini #Uingereza kwa watu wazima 74,000 uligundua jinsi usingizi huathiri afya ya akili ya baadhi ya watu wanaochelewa kulala.

Aidha kwa mujibu wa chapisho hilo limependekeza kuwa mtu mzima anapaswa kulala kati ya saa saba hadi tisa bila kukatishwa usingizi wake kwani usingizi ndio msingi wa afya njema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live