Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

UTAFITI: Kukaa muda mrefu kunapunguza siku za kuishi

Fcrdtyvg6t UTAFITI: Kukaa muda mrefu kunapunguza siku za kuishi

Tue, 18 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na ‘The British Journal of Sports’ umegundua kuwa kukaa chini zaidi ya saa 12 kunaongeza hatari ya kifo cha mapema kwa asilimia 38.

Utafiti huo ulibainika katika Nchi zilizoendelea, ambapo watu wengi hutumia muda mwingi kukaa wakati wa kuendesha shughuli zao za kila siku.

Hata hivyo, imeelezwa kuwa hatari hii inaweza kupunguzwa kwa kufanya mazoezi angalau dakika 22 kila siku.

Aidha utafiti huo ulitoa ushauri kwa watu ambao hawawezi kufanya mazoezi, kwamba wanaweza kujishughulisha katika kazi ndogo zitakazoufanya mwili kuchangamka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live