Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tundu Lissu "napanda ndege ya mwisho ya kunifikisha DSM"

Lissu And Adam 660x400 Tundu Lissu "napanda ndege ya mwisho ya kunifikisha DSM"

Mon, 27 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu yupo njiani kurejea Tanzania baada ya kuwa nje ya nchi kwa takribani miaka mitatu.

Kupitia mtandao wake wa Twitter muda mfupi uliopita, Lissu amesema kuwa anapanda ndege ya kumalizia safari yake kutoka Adis Ababa, Ethiopia mpaka Dar es Salaam, Tanzania.

Boarding Ethiopian Airlines flight ET 805 from Bole International Airport Addis Ababa to Dar Julius Kambarage Nyerere International Airport now. Tukutane Dar in slightly over three hours.

— Tundu Antiphas Lissu (@TunduALissu) July 27, 2020

Lissu aliondoka Tanzania baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa jijini Dodoma, Septemba 2017 na akakimbizwa kwa matibabu Kenya na baadaye nchini Ubelgiji.

Chanzo: millardayo.com