Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Tukiamka asubuhi tunagombana kwanza” – EBITOKE

259 UQW 660x400 TZW

Sat, 16 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Muigizaji na mchekeshaji Ebitoke alikuwa ni miongoni mwa watu waliohudhuria kwenye uzinduzi wa filamu mpya ya From Nigeria ambapo aliambatana na mchekeshaji mwenzie Bwana Mjeshi ambapo wamezungumza na kusema moja ya kitu wanachokifanya asubuhi wakiamka ni kugombana kwanza..

Ebitoke na Bwana Mjeshi walipoulizwa kitu gani cha kwanza wakiamka asubuhi wanakifanya walijibu ni kugombana kwanza kwani ni watu wanaoishi karibu karibu, pia akagusia style kijani kibichi ya nguo za majani ya mgomba alizokuwa amezivaa.

“Tukiamka asubuhi tunagombana, yeye mwenyewe alikuwa hajui hata kama mimi nitafanya hivyo,  niliamua kufanya hivyo kutokana na style yake mpya aliyokuja nayo, nikasema baby kaweka kichwani basi nami ngoja niweke style yangu mpya,” – Ebitoke

Bonyeza PLAY kuwasikiliza wakielezea..

MAMA KANUMBA “Sitoisahau Hukumu ya Lulu”

Chanzo: millardayo.com