Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Trump ageuza janga la kupigwa risasi kuwa Biashara

Trump Sneakers Trump ageuza janga la kupigwa risasi kuwa Biashara

Thu, 18 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa zamani wa Marekani Bw. Donald Trump ameligeuza tukio lake la kupigwa risasi kuwa biashara, sasa anauza sneakers zenye picha yake ambayo ilitamba sana mitandaoni baada ya kupigwa risasi ya sikio jukwaani na kuonekana akinyanyua mkono juu huku akisema mara tatu, FIGHT!

Rais wa zamani wa Marekani Bw. Donald Trump ameligeuza tukio lake la kupigwa risasi kuwa biashara, sasa anauza sneakers zenye picha yake ambayo ilitamba sana mitandaoni baada ya kupigwa risasi ya sikio jukwaani na kuonekana akinyanyua mkono juu huku akisema mara tatu, FIGHT! Sasa kwenye tovuti yake maalum ya kuuza sneakers mtandaoni (gettrumpsneakers.com), viatu hivyo vinauzwa kwa bei ya ($299) zaidi ya TSh. 793,630/- kwa Jozi moja na toleo hili lina Jozi 5000 tu !

Chanzo: www.tanzaniaweb.live