Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama Harmonize alivyotua Dar na mpenzi wake Briana (video+)

Video Archive
Sat, 27 Nov 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae Novemba 27, 2021 amewasili Dar akiwa na mpenzi wake aitwae Briana.

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae Novemba 27, 2021 amewasili Dar akiwa na mpenzi wake aitwae Briana. Harmonize kwa mara ya kwanza atampeleka mpenzi wake kwao Mtwara na kuhudhuria show ya Ibrah inayotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Nangwanda.

Chanzo: millardayo.com