Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

T.I Kustaafu muziki Disemba 19

T.I Rapper Rapa T.I

Wed, 16 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa kutoka nchini Marekani TI, amesema onesho lake la Disemba 19 mwaka huu kwenye ‘The Beat Jingle Ball’ katika ukumbi wa State Farm Arena, itakuwa ndio onesho lake la mwisho kutumbuiza Jukwaani.

Rapa kutoka nchini Marekani TI, amesema onesho lake la Disemba 19 mwaka huu kwenye ‘The Beat Jingle Ball’ katika ukumbi wa State Farm Arena, itakuwa ndio onesho lake la mwisho kutumbuiza Jukwaani. T.I. mwenye umri wa miaka 44, amekuwa kwenye game ya Muziki kwa takribani miaka 25 sasa. Kwenye mahojiano yake, rapa huyo amesema sababu iliyompelekea kuchukua maamuzi hayo ni hataki tena watu wamlipe pesa ili kuwaburudisha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live