Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Stori ya kusisimua ya Samuel Eto'o na mkewe

Etoo Mkez Stori ya kusisimua ya Samuel Eto'o na mkewe

Wed, 26 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pichani ni Samuel Eto'o akiwa na mkewe unaambiwa kabla Eto'o hajawa staa mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa ela ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka

Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza kupata mshahara mkubwa aliamua kumuoa mwanamke huyo aliyetoka nae mbali na hadi leo wapo pamoja kwenye ndoa zaidi ya miaka 20

Funzo: Ukifanikiwa usitafute penzi jipya heshimu aliyetoka mbali na wewe na kukupa support.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live