Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Soggy Doggy, Dataz washinda kesi, kulipwa Milioni 700

Soggydoggyanter 1722075589223.jpeg Soggy Doggy, Dataz washinda kesi, kulipwa Milioni 700

Sat, 27 Jul 2024 Chanzo: Mwanaspoti

Mahakama kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu kwa Kampuni ya Home Box Office (HBO) kuwalipa Tshs. Millioni 700 Wasanii wa BongoFleva, Soggy Doggy na Dataz kwa kutumia wimbo wao wa ‘Sikutaki Tena’ katika filamu ya “Sometimes in April”

IdrisElba ni miongoni mwa Wasanii waliocheza Filamu hiyo

Wimbo wa ‘Sikutaki Tena’ ulitoka Mwaka 2000 chini ya Mtayarishaji Enrico

Chanzo: Mwanaspoti