Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shija Grace Godfrey - Mimi Nimebarikiwa (Official Audio)

Video Archive
Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii chipukizi wa nyimbo za Injili nchini, Shija Grace Godfrey ameachia wimbo wake mpya uitwao, 'Mimi Nimebarikiwa' kupitia mtandao wa YouTube na platforms nyingine za muziki Duniani.

Mwanadada huyo ambaye anatikisa kwa sasa kwenye tasnia hiyo ya nyimbo za Injili amesema wimbo huo ni maalum kwa ajili ya kumtukuza Mungu kwa yale ambayo amemfanyia na ni faraja kwa wale wanahisi kukata tamaa kwani Mungu wanayemtegema yupo kazini, hatowaacha kamwe.

Sikiliza wimbo huo ubarikiwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live