Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shabiki amburuza Kanye West Mahakamani kwa kushambuliwa

Kanye West Post.jpeg Shabiki amburuza Kanye West Mahakamani kwa kushambuliwa

Fri, 12 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki na mwanamitindo kutoka nchini #Marekani Kanye West amemfunguliwa mashitaka na shabiki aitwaye Justin Poplawski (40) na kudai kuwa alishambuliwa na msanii huyo mwaka 2022 katika mitaa ya Los Angeles, California.

Kwa mujibu wa #Dailamail imeeleza kuwa #Poplawski alishambuliwa na #Kanye baada ya kumfuata kwa lengo la kutaka saini ya msanii huyo ‘autograph’ ndipo akapokea kipigo licha ya kumuomba msamaha lakini Kanye aliendelea kumpiga.

Aidha #JustinPoplawski amemfungulia mashitaka Kanye kwa lengo la kudai fidia kufuatiwa na majeraha, msongo wa mawazo alioupata baada ya kushambuliwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live