Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Selena Gomez ashindwa kulala kwenye chumba chake

Selena Gomez GG Selena Gomez

Fri, 18 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Selena Gomez ambaye ni msanii na mfanyabiashara kutokea nchini marekani na mmoja kati ya wanawake wenye wafuasi wengi sana kwenye mitandao ya kijamii hivi majuzi ametoa sababu ya kushangaza na kuumiza pia kwa mashabiki zake kwamba hawezi kulala tena kitandani au chumbani kwake peke ake.

Selenagomez ana umri wa miaka 32 ambaye anasumbuliwa na ugonjwa aina ya 'bipolar dissorder' tatizo la kiakili ambalo husababisha huzuni na furaha zisizo za kawaida yanayojulikana kama maradhi ya hisia zinazobadilika

"nilikuwa natumia muda mwingi sana chumbani kwangu ambapo siwezi tena kulala hapo kwasababu ninahusisha pia na hali ya uwoga na ya kutisha" Selena gomez

Selenagomez alianza kusumbuliwa na ugonjwa huo mwaka 2020 ambapo septemba 2024 alisema kuwa hawezi kubeba mimba na kupata mtoto wake mwenyewe kutokana na maradhi yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live