Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Sallam SK ni meneja mtata" - Rayvanny

Video Archive
Tue, 5 Oct 2021 Chanzo: eatv.tv

CEO wa lebo ya Next Level Music na msanii wa WCB Rayvanny Chui, amesema moja ya sifa ya boss wake Sallam SK ni kuwa meneja mtata.

CEO wa lebo ya Next Level Music na msanii wa WCB Rayvanny Chui, amesema moja ya sifa ya boss wake Sallam SK ni kuwa meneja mtata. Rayvanny amesema hilo wakati anataja sifa za watu wake wa karibu kama Diamond Platnumz, Babu Tale, Esma Platnumz, Sallam SK, Official Nai, Mama Dangote, Queen Darlin, Romy Jones, na Anko Shamte.

Chanzo: eatv.tv