Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

S2kizzy amtamani Khadija Kopa

S2KIZZY X KHADJA S2kizzy amtamani Khadija Kopa

Mon, 16 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtayarishaji wa muziki nchini S2Kizzy 'Zombie', ashindwa kuficha tamaa yake ya kufanya kazi na Khadija Kopa Malkia wa Mipasho.

S2Kizzy kwenye Instastory yake alichapisha ujumbe ukionesha shauku yake juu ya kufanya kazi na Malkia huyo "I Wish A Session With The Queen @officialkhadijakopa,".

Hata hivyo alimtaka binti wa msanii huyo, Zuchu kumsaidi katika hilo. Ambapo kwa upande wa binti huyo anayetamba na ngoma kama vile Sukari, Honey, Pwita na nyinginezo alimjibu S2Kizzy kwa kuandika "Ushanipa keshi haya limeisha,"

Nini kinakuvutia kutoka kwa Malkia wa Mipasho?. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live