Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rapa Travis Scott mbaroni kwa kupigana na mlinzi wake

Travis Mzs Rapa Travis Scott mbaroni kwa kupigana na mlinzi wake

Mon, 12 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa wa Marekani Travis Scott alikamatwa na polisi jana Agosti 9 kwa kosa la kupigana na mlinzi wake akiwa hotelini jijini Paris nchini Ufaransa

Video zinawaonyesha polisi wakimburuza rapa huyo akiwa amefungwa pingu kutoka ndani ya Hoteli ya nyota tano ya 'Four Seasons' kuelekea kwenye gari la polisi huku mikono yake ikiwa nyuma na kisha kuondoka nae.

Rapa huyo mwenye umri wa miaka 33, jina lake halisi ni Jacques Bermon Webster II.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live