Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Rais aliyehukumiwa kifo akakimbilia Zimbabwe

Mengistu Rais aliyehukumiwa kifo akakimbilia Zimbabwe

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Je, Wajua May 27 mwaka 2008 mahakama ya juu nchini Ethiopia ilimhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo Mengistu Haile Mariam baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya maelfu ya watu wakati wa utawala wake.

Hata hivyo Mengistu alikimbilia nchini Zimbabwe ambapo amepewa hifadhi baada ya utawala wake kupinduliwa mwaka 1991.

Kwasasa Rais huyo wa zamani wa Ethiopia ana umri wa miaka 83 na anaishi kwenye jiji la Harare.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live