Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Q Chief awachana Diamond, Tale na Harmonize, awapa skendo chafu (+Video)

Video Archive
Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Q Chef ameachia ngoma mpya aliyoipa jina la " Papa God" ambapo katika hiyo ngoma amewachana wasanii Diamond, Harmonize na meneja wa Diamond Babu Tale.

Mwanamuziki Q Chef ameachia ngoma mpya aliyoipa jina la " Papa God" ambapo katika hiyo ngoma amewachana wasanii Diamond, Harmonize na meneja wa Diamond Babu Tale. Q Chief amewaita watatu hao kuwa ni wachanja chale, akiwahusisha na imani za kishirikina.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live