Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi wamuachia huru Wiz Khalifa

Wiz Khalifaaaa Polisi wamuachia huru Wiz Khalifa

Sun, 14 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Polisi nchini Romania wamemuachia huru rapa Wiz Khalifa baada ya kumkamata na kumfungulia mashtaka mapema leo kwa kosa la kuvuta bangi akiwa Jukwaani kwenye onesho ambalo alilifanya nchini humo. Adhabu ya kukutwa na bangi nchini Romania ni kifungo cha hadi miaka 10 jela.

Polisi nchini Romania wamemuachia huru rapa Wiz Khalifa baada ya kumkamata na kumfungulia mashtaka mapema leo kwa kosa la kuvuta bangi akiwa Jukwaani kwenye onesho ambalo alilifanya nchini humo. Adhabu ya kukutwa na bangi nchini Romania ni kifungo cha hadi miaka 10 jela. Kupitia ukurasa wake wa X, Wiz Khalifa ameandika “Onesho la jana usiku lilikuwa zuri sana. Sikumaanisha kuvunja heshima kwa namna yoyote kwa taifa la Romania kwa kuvuta bangi Jukwaani. Wamekuwa waungwana sana [Polisi] na kuniacha niende zangu. Nitarudi hivi karibuni. Lakini bila ya ‘msuba’ wakati mwingine.” ameandika Wiz Khalifa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live