Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi wafika eneo lililoua watu 31 Arusha, Naibu Waziri atoa maagizo

Video Archive
Tue, 30 Nov 2021 Chanzo: millardayo.com

Katika kuhitimisha wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambayo kitaifa ilkuwa inafanyika Mkoani Arusha, Naibu waziri wa mambo ya ndani Hamis Chilo akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi wamehitimisha kwa kutembelea eneo la Rhotia Arusha ambapo ilitokea ajali nakusababisha wanafunzi zaidi ya 30 kupoteza maisha.

Chanzo: millardayo.com