Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pastor Philipo wa EFATHA aachia EP

Video Archive
Wed, 5 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo nakukutanisha na Mchungaji @philipomollelofficial ambaye ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EFATHA Mkoani Mbeya.

Pastor @philipomollelofficial mbali na huduma yake ya uchungaji wa muda mrefu lakini pia ana kipawa cha uimbaji ambapo ameachia Ep yake

EP ya Paator Philipo inaitwa SEMA NAMI ina jumla ya nyimbo 5 ambazo Sema Nami, Emmanuel, Yamekwisha, Nangoja, Kwa Msaada wa MUNGU na Bonus track Yana Mwisho

Nyimbo hizi zinapatikana katika platfotm mbalimbali ikiwemo Youtube, boomplay na platform nyingine jina ni Pastor Philipo Mollel

Baada ya kuitazama usisahau Ku-subscribe channel yake ya Youtube Pastor Philipo Mollel

Chanzo: www.tanzaniaweb.live