Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Nkululeko Dlamini straika aliyegeukia kutengeneza shepu za wadada

Mwamba 875 Nkululeko Dlamini straika aliyegeukia kutengeneza shepu za wadada

Sun, 30 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Anaitwa Nkululeko Dlamini, almaarufu kama 'Nyawolomshini' ama King of Squats amekuwa maarufu kwa kusaidia Wanawake kutengeneza shepu zao za makalio kwa kutumia mazoezi tu.

Huyu ni mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Jomo Cosmos ya Ligi Kuu nchini Afrika Kusini, baada ya kustaafu soka ndipo akaingia kwenye tasnia ya mazoezi ya kujenga mwili.

Na kama haitoshi ametumia mazoezi hayo kutengeneza kalio lake na kuwa na shepu ambayo wanawake wengi wanaitamani kuwa nayo.

Unaambiwa jamaa anapiga pesa ndefu kupitia kazi yake hiyo ambayo imempa umaarufu pengine kuliko hata soka ambalo amecheza kwa miaka mingi.

Neno moja kwake!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live