Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Ng'ombe auzwa Bilioni 11.4

Mara Emovis Ng'ombe auzwa Bilioni 11.4

Wed, 17 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ng’ombe Anayefahamika Kama ‘Mara Emovis’ Aliweka Rekodi Ya Dunia Baada Ya Kuuzwa Kwa $4.3m Zaidi Ya Tsh Bilioni 11.4/= Katika Mnada Uliofanyika Nchini Brazil Mwaka 2023

Sifa Kubwa Za Ng’ombe Wa Aina Hiyo Ni Ustahimilivu Wao Katika Hali Ya Hewa Joto, Kukabiliana Na Mazingira Ya Aina Yoyote ile Lakini Pia Kuzaliana Kwa Wingi

Hivyo Uvunjaji Wa Rekodi Hiyo Inaonyesha Umuhimu Wa Ng’ombe Nchini Brazil Na Kuthaminiwa Kama Mali Muhimu Katika Nchini Hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live