Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

New Music: Alikiba – Mahaba (Official Audio & Lyrics)

Video Archive
Fri, 17 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba maarufu wa AliKiba au King Kiba, kama kawaida yake, fundi wa kutunga na kuimba ameachia bonge moja la ngoma aliloipa jina la Mahaba.

Bosi huyo wa lebo ya Kings Music anayeshikilia rekodi ya mauzo makubwa ya albam Afrika Mashariki kupitia albam yake ya Cinderella ya mwaka 2006, ameiachia Mahaba leo Ijumaa, Februari 17, 2023.

Alikiba – Mahaba Lyrics

Sikuhizi hakuna mahaba yeh! Mahaba

Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha

Ni neema tuna hema mapenzi yanachosha yanafuja raha

Nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa

Uchungu wakulia daily

Mapenzi yalinifanya nisile

Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo!

Uchungu wakulia daily

Mapenzi yalinifanya nisile

Sina kumbukumbu hile kwamba ulinitosha noo!

Mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza

Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeh!

Mi nilikufa nikazikwa nikaoza

Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh

Sikiliza kwanza we mdada we mdada

Mi sio mgeni yalishanikaba mapenzi yalinikausha

Natamani kua single ila nnaupwil unanikaba kooh

Mabinti wenye vifundo hao ndo mi wananitoa roho

Na siri tu ya jambo lile ni kama chakula lazima nile

Mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh

Na siri yake tu jambo lile ni kama chakula lazima nile

Mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh!

Mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza

Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeh!

Mi nilikufa nikazikwa nikaoza

Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live