Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nay wa Mitego ajilipua tena, aachia ngoma yenye utata! - VIDEO

Video Archive
Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Hip Hop, Emanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Amkeni ambayo mashairi yake yana utata!

Ukiisikiliza ngoma hiyo, ina maneno makali ambayo kwa namna yoyote ile, inahitaji busara kwa viongozi wa Basata kuacha kuifungia.

Hii si mara ya kwanza kwa Nay kuachia ngoma ambayo ina maneno makali hususan kwa viongozi wenye dahamana kubwa ya katika Serikali, aliwahi kuachia Wapo ambao ulikuwa na mashairi makali na kumsababishia atiwe nguvuni kisha kuachiwa baadaye.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live