Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nay wa Mitego afunguka baada ya serikali kumpa ONYO kuhusu muziki wake (+video)

Video Archive
Wed, 7 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumpa onyo kali kuhusu kazi zake.



Akiongea mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, Nay wa Mitego amesema kuwa ngoma zake sio mbaya sana ila amepokea onyo hilo na amekubali kurekebisha baadhi ya vitu kwenye nyimbo zake ikiwemo wimbo wa Mikono Juu.

Leo Machi 01, 2018 serikali imetangaza kumfungia msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Roma Mkatoliki kwa miezi sita kuanzia leo kutokujihusisha na masuala ya muziki.

Soma zaidi – Roma Mkatoliki apigwa ‘STOP’ kufanya muziki, Nay wa Mitego apewa onyo kali na serikali

Chanzo: bongo5.com