Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nas: Bifu yangu na Jay- Z bado haijaisha (+Video)

Video Archive
Wed, 16 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa na MC kutoka nchini Marekani, Nas amesema bifu lake na Rapa Jay-Z, bado halijaisha.

Kwenye mahojiano na Trevor Noah kupitia kipindi cha The Daily Show, Nas alipita kui-promote Album yake “Kings Disease 3” na kusema Jay-Z bado anateseka kwani pindi alipoachia Tracklist ya Album yake hiyo, Jigga naye akaamua kutafuta cha kuzungumziwa, akaachia picha ambayo amepozi na Tuzo zake za Grammy!

Lakini pia Nas hakusita kutoa pongezi kwa Jay Z kwa mafanikio aliyoyapata kupitia Industry ya Muziki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live