Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nandy huyo... CCM

Officialnandy 286032965 442143561072397 7383579461443980495 N (1) Nandy huyo... CCM

Wed, 10 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo fleva nchini Faustina Mfinanga ‘Nandy’ ametangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Akizungumza Julai 6,2024 katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam Nandy ametangaza rasmi kuwa mwanachama wa CCM.

“Mimi kama kijana na msanii wa Bongo fleva Natangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM chama tawala vijana ndio Taifa la Leo, kesho na kesho kutwa.”amesema Nandy.

Nandy pia amewaasa vijana wapenda maendeleo kujiunga na Chama hicho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live