Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nana ya Diamond yafikisha views Mil. 100

Diamond Mtv Nana ya Diamond yafikisha views Mil. 100

Thu, 22 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ngoma ya Nana imefikisha views milioni 100 ndani ya miaka 9 , ikiwa ni project ya pili ya #DiamondPlatnumz ya kimataifa baada ya kufanya My Number One Remix ft @davido 2014, pia mwaka 2015 ilifanya vizuri sana kipindi hiko na kumuaminisha Simba #DiamondPlatnumz kuingia kwenye chart mbalimbali za muziki duniani, na kuchukua Tuzo ya #MTVMama kama Best perfomance of the year 2015.

Kwa Wimbo wa Nana kutimiza views milioni 100 unakuwa wimbo mmoja wapo Kati ya video ya 5 ya #Diamond kuwa na watazamaji zaidi ya milioni 100 kwenye mtandao wa Youtube, pia ni video ya pili ya au kolabo ya pili ya #Diamond na #Flavour kuwa na views zaidi ya milioni 100+,

Ngoma hii Inamfanya @diamondplatnumz , @burnaboygram na @wizkidy kuwa ndio wasanii wenye video nyingi zaidi kusini mwa jangwa la sahara Afrika zenye watazamaji zaidi ya milioni 100 kwenye mtandao wa Youtube,wote wakiwa na video 5 zenye watazamaji zaidi ya milioni 100+ kwenye Youtube Channel zao, Wakifatiwa na @davido mwenye video 4 zenye watazamaji zaidi ya milioni 100+.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live