Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku amchana Diamond "Rudi kwa Zari"

Picha Ya Mwijaku Na Mondi Mwijaku amchana Diamond

Thu, 16 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mhamasishaji katika mitandao ya kijamii hasa Instagram, Mwijaku amemtaka nyota wa muziki Diamond Platnumz kubadilisha aina ya gari anayoitumia na kama atashindwa basi arudi kwa aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Zarina Hassan maarufu kama ‘Zari The Boss Lady’.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mwijaku ameandika; “Ili kukuwa zaidi nadhani huu ni wakati sahihi wa Mwambino (Diamond) kubadili gari, hata ukifuatilia ulimwenguni watu wanaokua kibiashara hawatumii gari zaidi ya miaka miwili,” amesema Mwijaku.

Mwijaku ameendelea kukazia suala hilo akimtaka nyota huyo kubadili gari na sio wanawake na kama ikishindikana arudi kwa Zari.

“Haiwezekani mimi muajiriwa wako nabadili gari, wewe unabadili wanawake tu bila faida, au urudi tu kwa Zari,” amesema Mwijaku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: