Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku afichua mengine Kajala na Harmonize "Walikuwa wafunge Ndoa"

Video Archive
Thu, 5 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Agosti 5, 2021 ambapo Mwijaku ameongea mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu maamuzi ya Harmonize baada ya kuachana na Mwigizaji Kajala Masanja.

“Harmonize baada ya Mahusiano yake na Kajala kuisha basi vile vitu vyote alivyotumia nae aliamua kuvipelekea mkoani Mtwara yaani kuvigawa kwasababu kila akiangalia vitu vilivyopo ndani alikuwa anamkumbuka Kajala”- Mwijaku

“Kwahiyo Harmonize aliamua kuvigawa na kununua vitu vipya vya ndani, Harmonize alimpenda kweli Kajala na hauwezi amini ndio Mwanamke aliempeleka kumtambulisha kwa Baba yake kwamba huyo ndio Mwanamke naenda kuoa”- Mwijaku

“Aliamua kuacha makando kando yake yote tukikumbuka Harmonize alimuacha Mzungu aliacha Hela kwasababu ya Kajala”- Mwijaku

Chanzo: millardayo.com