Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwijaku: Diamond analambishwa sukari guru na Nandy

Nandy Diamond M.png Mwijaku: Diamond analambishwa sukari guru na Nandy

Fri, 9 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji wa Clouds Media, Burton Mwemba maarufu kama mwijaku amempiga dongo supastaa wa Bongo Felva, Diamond Platnumz baada ya video yake ya #Mapoz kushindwa kuitoa #Dah ya Nandy kwenye trending ya YouTube.

Mwijaku kupitia akaunti yake ya X, ameandika; "Nasikia MWAMBINO analambishwa sukari guru na Nandy hukoo! Nyoko zake alafu anataka kushindana na Harmonize. nyoko wewe unashindwa na mtoto wa kike."

Nini maoni yako?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: