Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwana FA, Shilole, Nikki wa Pili wafunguka Kusaga alivyowasaidia maisha yao (Video+)

Video Archive
Sat, 7 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni usiku wa Mchongo wa Big Joe uliofanyika katika parking Za Clouds Media, na hawa hapa ni Nikki wa Pili, Mwana FA Viongozi ambao waliokulia katika tasnia ya muziki na kupata airtime ya kutosha kupitia Clouds Media, Pamoja Na Msanii Shilole na Joh Makini, Wao Pia wamekua na haya ya kusema kuhusu Mchongo wa Big Joe na mchango wake katika kuwapa michongo vijana wengi.

Chanzo: millardayo.com