Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwamposa: Nauza mafuta ya upako, maji, jambo nyeti njoo

Mwamposa Kej.jpeg Mtume Mwamposa

Sat, 13 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtume Boniface Mwamposa 'Bulldozer" kuhusu utaratibu upi anaotumia yeye pale Mtu anataka maombi binafsi (Private) pia kuuza kwake mafuta ya upako, maji.

Mwamposa amejibu “Hakuna kanuni ya kulipa ili unione, nikisema watu walipe nikweli wanaweza kulipa lakini haina msingi katika malipo kwasababu huyu ambaye hana kitu atanionaje, nina utaratibu wankuwafikia watu hakuna malipo hata Shilingi”

“Huwa nawaambia watu ukikutana mtu ukitaka kulipa hela kwa watu wangu ili unione hautaniona, ukitaka niona fuata utaratibu” Mwamposa

“Uponyaji ni bure, nauza mafuta upako na majia ya upako sababu maji hayo dukani ni Elfu moja kwangu ni Elfu moja, mafuta pia Elfu moja hata ningewaambia Elfu hamsini watu wangenunua lakini nimeweka Elfu mmoja ili hata wa chini anunue”

“Chanzo kuweka bei ni kuanzia Kilimanjaro nilikua nagawa bure, maji nikawaambia waje nayo kutoka makwao, kilichotokea watu walikua wanakuja na maji chupa chafu sasa likawa linaonekana ni eneo lisilo na mpangilio”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live