Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Muziki wazimwa Bar" Cosota waanza kupita kumbi za starehe (video+)

Video Archive
Thu, 21 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan aliagiza Taasisi ya haki Miliki Tanzania (COSOTA) kuhakikisha Inakusanya mirabaha kwenye maeneo yanayotumia kazi za Wasanii ili Wasanii waanze kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao kutumika kwenye maeneo mbalimbali kuanzia December 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan aliagiza Taasisi ya haki Miliki Tanzania (COSOTA) kuhakikisha Inakusanya mirabaha kwenye maeneo yanayotumia kazi za Wasanii ili Wasanii waanze kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao kutumika kwenye maeneo mbalimbali kuanzia December 2021. Sasa kutoka Dodoma imefanyika operesheni maalumu ikiwahusisha COSOTA na Jeshi la Polisi ambapo wamepita kwa ajili ya kukagua maeneo mbalimbali yanayotumia kazi za ubunifu hasa muziki bila kulipia mirabaha ambapo Ayo TV imeshuhudia baadhi ya Baa muziki ukizimwa kwa waliokaidi kulipa, video hii imenasa kila kitu.

Chanzo: millardayo.com