Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muziki wa Amapiano umetua London, Ma DJ's, wasanii waburudisha (video+)

Video Archive
Fri, 24 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano.

Sasa habari njema ni kwamba wakali hao wenye midundo yao isiyochosha kwenye usikilizwaji wameanza kupata tours nchini tofauti tofauti na leo nakusogezea ushuhudie walichokifanya Uingereza katika session iitwayo Boiler Room.

Mastaa waliotoa burudani katika session ya Boiler Room  akiwemo Vigro Deep Dj, Cassper Nyovest, Major League DJ’Z, Mr Jazziq, Kamo Mphela, DBN Gogo

Chanzo: millardayo.com