Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mtu mzee zaidi duniani afariki Dunia

Maria Branyas Morera Dtg Maria Branyas Morera

Wed, 21 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maria Branyas Morera, Mhispania mzaliwa wa Marekani anayeaminika kuwa mtu mzee zaidi duniani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 117.

Maria Branyas Morera, Mhispania mzaliwa wa Marekani anayeaminika kuwa mtu mzee zaidi duniani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 117. Morera alitajwa kuwa mtu mzee zaidi aliye hai duniani katika kitabu cha Rekodi za Dunia cha Guinness Januari 2023 baada ya kifo cha mtawa Mfaransa Sister André aliyekuwa na umri wa miaka 118.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live