Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mrembo aliyeimba na Alikiba katua Bongo (video+)

Video Archive
Tue, 5 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Msanii mwenye asili ya Congo aitwae  Maud Elka aishie nchini Ufaransa ametua Tanzania kwa ajili ya tour ya wimbo wake aliofanya na Alikiba.

Staa huyo atazunguka katika vituo vya Radio na TV mbalimbali kwa ajili ya kuzungumzia kuhusu wimbo huo uitwao Songi Songi Remix.

Unaweza ukatazama hapa alivyowasili katika viwanja vya Airport Dar es  Salaam kisha kuzungumza na waandishi wa habari.

Chanzo: millardayo.com