Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mobetto: Aziz Ki angeondoka, ningemfuata

Aziz Ki Yangaaa Mobetto Mobetto na Aziz Ki.

Tue, 16 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo kunako tasnia ya Bongo Movies, Hamisa Mobetto akimzungumzia staa wa Yanga SC #AzizKi baada ya kuulizwa na waandishi wa habari kama ametumika kumshawishi aendelee kuchezea klabu hiyo.

"Hakuna mtu aliyenifuata akasema nimshawishi (Aziz Ki). Ni mchezaji mzuri sana ni vizuri kama kabaki Tanzania, angeondoka ningepanda ndege kumfuata. Nilimwambia asiondoke, ni mtu mzuri ana upendo".

Wenye D Mbili mnasemaje katika hili.?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live