Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mke ampelekea mume keki ya "Birthday" yenye screenshot za mchepuko

Keki Mchepukooo Mke ampelekea mume keki ya "Birthday" yenye screenshot za mchepuko

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huko nchini Nigeria Mwanamke mmoja amezua gumzo kwenye mitandao ya Kijamii baada ya kumtengenezea mme wake Keki ya Birthday yenye Screenshot ya Chat ambazo alikuwa aki chat na Mchepuko wake.

Kwenye Chat hizo ambazo nimekuwekea kwenye slide, Mume wa mwanamke huyo alikuwa akimwambia Mchepuko kuwa anataka kumuacha mke wake ili awe na yeye na hampendi tena, na chat hizo ndizo ambazo mke wake ameziweka kwenye screenshot ambayo ameitengenezea kwenye keki ya birthday ya Mume wake.

Wewe unaweza kufanya kitu kama hiki?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live