Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkali Cassper Nyovest na DJ Sumbody kutua DAR, Maison Club kupewa shangwe

Video Archive
Fri, 1 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Headlines za mkali kutokea Afrika Kusini, Cassper Nyovest ambapo time hii anatarajiwa kutoa burudani kwa mara nyingine Tanzania.

Staa huyo ataungana na Dj Sumbody kuwaimbia watanzania wataofika Octoba 2, 2021 katika Club ya Maison Dar es Salaam.

Cassper ameingia kwenye orodha ya wasanii wanaotokea Afrika Kusini wenye ushawishi mkubwa na kukubalika Afrika kutokana na kazi anazozitoa.

Kwasasa rekodi iliyomuweka kwenye charts mbalimbali ni wimbo uitwao Siyathandana aliyomshirikisha Abidoza na Boohle.

Mkali huyo atawaimbia mwanzo mwisho watanzania

Chanzo: millardayo.com