Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mbwa maarufu zaidi mtandaoni, afariki Dunia

Mbwa Kabosuuu Mbwa maarufu zaidi kwenye mitandao ya kijamii aitwaye "Kabosu"

Mon, 27 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbwa maarufu zaidi kwenye mitandao ya kijamii aitwaye "Kabosu" amefariki akiwa na miaka 18.

Mbwa maarufu zaidi kwenye mitandao ya kijamii aitwaye "Kabosu" amefariki akiwa na miaka 18. Mbwa huyo amefariki nchini Japan na mmiliki wa mbwa huyo alifanya hafla ya kuagwa kwa maua iliyohudhuriwa na watu wengi huko Narita Japan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live